NEWS,EVENTS AND DOWNLOADS

(Our recent news and downloads)

TANGAZO JIPYA KWA WAHITIMU

TANGAZO JIPYA KWA WAHITIMU:

Mwanachuo aliyehitimu Tabora Polytechnic College (TPC) ambapo awali kilifahamika kama Musoma Utalii College (MUC) anayekuja kufuatilia cheti, ahakikishe anakuja na vitu vifuatavyo:

1. Nakala ya Cheti chake cha kidato cha nne au Results slip.

2. Clear passport size mbili ambazo si za muda mrefu.

3. Field Report iliyoandaliwa kufuata mpangilio ulioelekezwa hapa chuoni.

Uonapo tangazo hili,mjulishe na Mwenzio. Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi +255 755 880333